7 Kwa hiyo mwanafunzi ambaye Yesu alikuwa akimpenda,+ akamwambia Petro:+ “Ni Bwana!” Kwa hiyo Simoni Petro, aliposikia kwamba ni Bwana, akajifunga mwenyewe kwa kujizungushia kiunoni vazi lake la juu, kwa maana alikuwa uchi, akajitumbukiza ndani ya bahari.