-
Yohana 1:38Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
38 Ndipo Yesu akageuka na, alipowaona wakimfuata, akawaambia: “Mnatafuta nini?” Wakamwambia: “Rabi, (ambalo linapotafsiriwa humaanisha, Mwalimu,) unakaa wapi?”
-