Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 10:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Lakini ikiwa ninazitenda, hata ingawa hamniamini, iweni na imani katika kazi hizo,+ ili mjue na kuendelea kujua kwamba Baba yuko katika muungano pamoja na mimi, nami niko katika muungano pamoja na Baba.”+

  • Yohana 14:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Je, wewe huamini kwamba mimi nimo katika muungano pamoja na Baba na Baba yumo katika muungano pamoja nami?+ Mambo ninayowaambia ninyi sisemi kwa kujitungia mwenyewe; bali Baba ambaye hukaa katika muungano pamoja nami anafanya kazi zake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki