-
Yohana 10:38Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
38 Lakini ikiwa ninazifanya, hata ingawa hamniamini mimi, aminini hizi kazi, ili mpate kuja kujua na mpate kuendelea mkiwa mnajua kwamba Baba yuko katika muungano na mimi nami katika muungano na Baba.”
-