Matendo 27:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Tukapanda ndani ya mashua kutoka Adramitiamu, iliyokuwa karibu kusafiri mpaka kandokando ya pwani ya wilaya ya Asia, tukasafiri kwa mashua, naye Aristarko+ Mmakedonia kutoka Thesalonike alikuwa pamoja nasi.
2 Tukapanda ndani ya mashua kutoka Adramitiamu, iliyokuwa karibu kusafiri mpaka kandokando ya pwani ya wilaya ya Asia, tukasafiri kwa mashua, naye Aristarko+ Mmakedonia kutoka Thesalonike alikuwa pamoja nasi.