Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 21:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 kwa maana umati wa watu uliendelea kufuata, ukipaaza sauti: “Mwondolee mbali!”+

  • Matendo 23:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 nao wakaenda kwa wakuu+ wa makuhani na wanaume wazee na kusema: “Sisi tumejifunga wenyewe chini ya laana kwa uzito kutoonja chakula mpaka tuwe tumemuua Paulo.

  • Matendo 25:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Naye Festo akasema: “Mfalme Agripa na ninyi wanaume wote mliopo pamoja nasi, ninyi mnaona mtu huyu ambaye kuhusu yeye umati wote wa Wayahudi ukiwa pamoja umepeleka ombi kwangu katika Yerusalemu na hapa pia, ukipaaza sauti kwamba hapaswi kuishi tena kamwe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki