15 Hata hivyo, wakapaaza sauti: “Mwondolee mbali! Mwondolee mbali! Mtundike mtini!” Pilato akawaambia: “Je, nimtundike mtini mfalme wenu?” Wakuu wa makuhani wakajibu: “Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.”+
22 Basi wakaendelea kumsikiliza mpaka kwenye neno hili, nao wakapaaza sauti zao, wakisema: “Mwondolee mbali mtu wa namna hiyo duniani, kwa maana yeye hakufaa kuishi!”+