Mwanzo 50:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Kwa hiyo wanawe wakampeleka mpaka nchi ya Kanaani na kumzika katika pango la shamba la Makpela, shamba ambalo Abrahamu alikuwa amenunua kutoka kwa Efroni Mhiti mbele ya Mamre+ ili awe na mahali pa kuzikia.
13 Kwa hiyo wanawe wakampeleka mpaka nchi ya Kanaani na kumzika katika pango la shamba la Makpela, shamba ambalo Abrahamu alikuwa amenunua kutoka kwa Efroni Mhiti mbele ya Mamre+ ili awe na mahali pa kuzikia.