Mwanzo 23:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Naye Abrahamu akamsikiliza Efroni, na Abrahamu akampimia Efroni hicho kiwango cha fedha alichokuwa amesema masikioni mwa wana wa Hethi, shekeli za fedha mia nne zinazotumiwa na wanabiashara.+
16 Naye Abrahamu akamsikiliza Efroni, na Abrahamu akampimia Efroni hicho kiwango cha fedha alichokuwa amesema masikioni mwa wana wa Hethi, shekeli za fedha mia nne zinazotumiwa na wanabiashara.+