Marko 5:40 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 40 Ndipo wakaanza kumcheka kwa dharau. Lakini, akiisha kuwatoa nje wote, akamchukua baba na mama ya huyo mtoto mchanga na walio pamoja naye, naye akaingia mahali alipokuwa mtoto huyo.+ Luka 8:51 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 51 Alipofika kwenye nyumba hiyo hakumruhusu yeyote aingie pamoja naye ila Petro na Yohana na Yakobo na baba na mama ya msichana huyo.+
40 Ndipo wakaanza kumcheka kwa dharau. Lakini, akiisha kuwatoa nje wote, akamchukua baba na mama ya huyo mtoto mchanga na walio pamoja naye, naye akaingia mahali alipokuwa mtoto huyo.+
51 Alipofika kwenye nyumba hiyo hakumruhusu yeyote aingie pamoja naye ila Petro na Yohana na Yakobo na baba na mama ya msichana huyo.+