70 Tena akawa akikana hilo. Na mara nyingine tena baada ya muda kidogo wale waliosimama kando wakaanza kumwambia Petro: “Hakika wewe ni mmoja wao, kwa maana, kwa kweli, wewe ni Mgalilaya.”+
11 nao wakasema: “Wanaume wa Galilaya, kwa nini mnasimama mkitazama angani? Yesu huyu aliyepokewa juu angani kutoka kwenu atakuja vivyo hivyo+ kama vile ambavyo mmemwona akienda angani.”