-
Matendo 1:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 na kusema: “Wanaume wa Galilaya, kwa nini mnasimama mkitazama angani? Huyu Yesu aliyechukuliwa kutoka kwenu kwenda angani atakuja vivyo hivyo kama vile ambavyo mmemwona akienda angani.”
-
-
Matendo 1:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 nao wakasema: “Wanaume wa Galilaya, kwa nini mwasimama mkitazama angani? Yesu huyu aliyepokewa juu angani kutoka kwenu atakuja hivyo namna ileile kama vile mmemwona akienda angani.”
-