-
Matendo 13:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Basi watu hawa, waliotumwa na roho takatifu, wakashuka kwenda Seleukia, na kutoka huko wakasafiri kwa mashua kwenda Kipro.
-