-
Matendo 13:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Basi watu hao waliotumwa na roho takatifu, wakashuka kwenda Seleukia, na kutoka huko wakasafiri baharini kwenda Kipro.
-
-
Matendo 13:4Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
4 Basi watu hawa, waliotumwa na roho takatifu, wakateremka kwenda Seleukia, na kutoka huko wakasafiri kwa mashua kwenda zao Saiprasi.
-