-
Mathayo 7:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Na mvua ikanyesha na mafuriko yakaja na pepo zikavuma na kuipiga nyumba hiyo, lakini haikuporomoka, kwa maana msingi wake ulikuwa umejengwa juu ya mwamba.
-