-
Mathayo 7:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Kisha mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, upepo ukavuma na kuipiga nyumba hiyo, lakini haikuporomoka, kwa maana msingi wake ulikuwa umejengwa kwenye mwamba.
-
-
Mathayo 7:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Na mvua ikamwagika na mafuriko yakaja na pepo zikavuma na kudunda dhidi ya nyumba hiyo, lakini haikuporomoka, kwa maana ilikuwa imepigwa msingi juu ya tungamo-mwamba.
-