Mwanzo 27:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Kwa hiyo akaja karibu akambusu, naye akanusa harufu ya mavazi yake.+ Naye akaanza kumbariki akisema: “Tazama, harufu ya mwanangu ni kama harufu ya shamba ambalo Yehova amebariki.
27 Kwa hiyo akaja karibu akambusu, naye akanusa harufu ya mavazi yake.+ Naye akaanza kumbariki akisema: “Tazama, harufu ya mwanangu ni kama harufu ya shamba ambalo Yehova amebariki.