31 Na Yehova akafungua macho+ ya Balaamu, naye akamwona malaika wa Yehova amesimama katika barabara na upanga wake uliochomolewa ukiwa mkononi mwake. Mara moja akainama chini na kujilaza kifudifudi.
8 Nao wakawaua wafalme wa Midiani pamoja na wengine waliouawa, yaani, Evi na Rekemu na Suri na Huru na Reba, wale wafalme watano wa Midiani;+ nao wakamuua Balaamu+ mwana wa Beori kwa upanga.