Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 7:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Naye akatengeneza bahari ya kuyeyushwa+ ya mikono 10 kutoka ukingo wake mmoja mpaka ukingo wake mwingine, iliyo mviringo pande zote; na kimo chake kilikuwa mikono 5, na kamba ya urefu wa mikono 30 ingeweza kuizunguka pande zote.+

  • 1 Wafalme 7:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Kisha akaweka mabehewa matano upande wa kuume wa nyumba, na matano upande wa kushoto wa nyumba;+ nayo bahari akaiweka upande wa kuume wa nyumba upande wa mashariki, kuelekea kusini.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki