-
Mwanzo 40:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Na kikombe cha Farao kilikuwa mikononi mwangu, nami nikachukua zabibu na kuzikamua ndani ya kikombe cha Farao. Kisha nikakiweka kikombe hicho mkononi mwa Farao.”
-