Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:22-24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “Kisha nikaona katika ndoto yangu masuke saba ya nafaka yakitokea katika bua moja, yalikuwa yamejaa nafaka nayo yalikuwa mazuri sana.+ 23 Halafu yakafuatwa na masuke mengine saba ya nafaka yaliyonyauka, membamba, na yaliyochomwa na upepo wa mashariki. 24 Kisha yale masuke membamba ya nafaka yakaanza kuyameza yale masuke saba mazuri sana ya nafaka. Basi nikawasimulia makuhani wachawi ndoto hiyo,+ lakini hakuna yeyote aliyeweza kunieleza maana yake.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki