-
Mwanzo 47:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Basi wakaanza kumletea Yosefu mifugo yao, naye alikuwa akiwapa chakula na kuchukua farasi wao, mifugo yao, na punda wao, na mwaka huo wote alikuwa akiwapa chakula na kuchukua mifugo yao yote.
-