Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 37:34, 35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Ndipo Yakobo akayararua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia kiunoni na kumwombolezea mwanawe kwa siku nyingi. 35 Na wanawe wote na mabinti zake wote wakajaribu sana kumfariji, lakini alikataa kabisa kufarijiwa, akisema: “Nitashuka Kaburini*+ nikimwombolezea mwanangu!” Na baba yake akaendelea kumlilia.

  • Mwanzo 44:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Mkimchukua huyu pia nisimwone, kisha apatwe na madhara na kufa, hakika mtazishusha mvi zangu Kaburini*+ kwa msiba.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki