-
Mwanzo 43:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Yosefu alipomwona Benjamini akiwa pamoja nao, mara moja akamwambia msimamizi wa nyumba yake: “Wapeleke watu hawa nyumbani, uchinje wanyama na kutayarisha chakula, kwa sababu watakula nami chakula cha mchana.”
-