Mwanzo 43:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Nitakuwa dhamana kwa ajili ya ulinzi wake.*+ Nitawajibika kwako. Nisipomrudisha na kukukabidhi, nitakuwa nimekutendea dhambi ya kudumu.
9 Nitakuwa dhamana kwa ajili ya ulinzi wake.*+ Nitawajibika kwako. Nisipomrudisha na kukukabidhi, nitakuwa nimekutendea dhambi ya kudumu.