Mwanzo 44:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Mimi mtumwa wako nilijitoa kuwa dhamana kwa baba yangu kwa ajili ya mvulana huyu, kwa kumwambia, ‘Nisipomrudisha kwako, nitakuwa nimekutendea dhambi milele baba yangu.’+
32 Mimi mtumwa wako nilijitoa kuwa dhamana kwa baba yangu kwa ajili ya mvulana huyu, kwa kumwambia, ‘Nisipomrudisha kwako, nitakuwa nimekutendea dhambi milele baba yangu.’+