-
Mwanzo 38:2-5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Akiwa huko, Yuda akamwona binti ya Mkanaani fulani+ aliyeitwa Shua. Basi akamwoa na kulala naye, 3 akapata mimba. Baadaye akazaa mwana, akampa jina Eri.+ 4 Akapata mimba tena, akazaa mwana na kumpa jina Onani. 5 Kwa mara nyingine tena akazaa mwana na kumpa jina Shela. Shela alipozaliwa, Yuda alikuwa Akzibu.+
-