-
Mwanzo 24:2, 3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Abrahamu akamwambia mtumishi wake, aliyekuwa na umri mkubwa zaidi nyumbani mwake, ambaye alisimamia mali zake zote:+ “Tafadhali, weka mkono wako chini ya paja langu, 3 nami nitakuapisha kwa jina la Yehova, Mungu wa mbingu na Mungu wa dunia, kwamba hutamchukulia mwanangu mke kutoka kwa mabinti wa Wakanaani, ninaoishi miongoni mwao.+
-