14 Kwa hiyo kundi la makabila matatu katika kambi ya wana wa Yuda liliondoka kwanza kulingana na vikosi vyake,* na kiongozi wa kundi hilo alikuwa Nashoni+ mwana wa Aminadabu.
3 Basi wazee wote wa Israeli wakaja kwa mfalme huko Hebroni, na Mfalme Daudi akafanya agano nao+ huko Hebroni mbele za Yehova. Kisha wakamtia mafuta Daudi awe mfalme wa Israeli.+