Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 20:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Siku hiyo Wabenjamini walikusanya wanaume 26,000 wenye mapanga kutoka katika majiji yao, na pia wanaume 700 mashujaa kutoka Gibea. 16 Jeshi hilo lilikuwa na wanaume 700 mashujaa waliotumia mkono wa kushoto. Kila mmoja wao aliweza kurusha jiwe kwa kombeo na kulenga unywele* bila kukosea.

  • 1 Samweli 9:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 “Kesho wakati kama huu, nitatuma mtu kwako kutoka katika nchi ya Benjamini.+ Utamtia mafuta awe kiongozi juu ya watu wangu Waisraeli,+ naye atawaokoa watu wangu kutoka mikononi mwa Wafilisti. Kwa sababu nimeyaona mateso ya watu wangu, na kilio chao kimenifikia.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki