-
Mwanzo 35:2, 3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Basi Yakobo akawaambia watu wa nyumba yake na wote waliokuwa pamoja naye: “Ondoeni kabisa miungu ya kigeni iliyo kati yenu,+ na mjisafishe wenyewe na kubadili mavazi yenu, 3 na acheni tuondoke twende Betheli. Huko nitamjengea madhabahu Mungu wa kweli, aliyenijibu katika siku yangu ya taabu na ambaye amekuwa pamoja nami kila mahali nilipoenda.”*+
-