-
Mwanzo 19:20-22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Sasa tafadhali, mji huu uko karibu nami ninaweza kukimbilia humo; ni mji mdogo tu. Tafadhali, ninaweza kukimbilia humo? Ni mji mdogo tu. Kisha nitaokoka.”* 21 Kwa hiyo akamwambia: “Sawasawa, nitakutendea pia kwa fadhili,+ sitauangamiza mji uliotaja.+ 22 Fanya haraka! Kimbilia huko, kwa sababu sitafanya jambo lolote mpaka utakapofika huko!”+ Ndiyo sababu aliuita mji huo Soari.*+
-