Kutoka 3:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Kila mwanamke anapaswa kumwomba jirani yake na mwanamke anayeishi nyumbani mwake vito vya fedha na vya dhahabu na pia mavazi, nanyi mtawavika wana wenu na mabinti wenu; nanyi mtachukua mali za Wamisri.”+ Zaburi 105:37 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 37 Aliwatoa nje watu wake wakiwa na fedha na dhahabu;+Na hakuna yeyote katika makabila yake aliyejikwaa.
22 Kila mwanamke anapaswa kumwomba jirani yake na mwanamke anayeishi nyumbani mwake vito vya fedha na vya dhahabu na pia mavazi, nanyi mtawavika wana wenu na mabinti wenu; nanyi mtachukua mali za Wamisri.”+
37 Aliwatoa nje watu wake wakiwa na fedha na dhahabu;+Na hakuna yeyote katika makabila yake aliyejikwaa.