Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 15:13, 14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kisha Mungu akamwambia Abramu: “Ujue kwa hakika kwamba wazao* wako watakuwa wageni katika nchi ambayo si yao na kwamba watu wa nchi hiyo watawafanya kuwa watumwa na kuwatesa kwa miaka 400.+ 14 Lakini mimi nitalihukumu taifa watakalolitumikia,+ na baada ya hapo watatoka huko na mali nyingi.+

  • Kutoka 3:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kila mwanamke anapaswa kumwomba jirani yake na mwanamke anayeishi nyumbani mwake vito vya fedha na vya dhahabu na pia mavazi, nanyi mtawavika wana wenu na mabinti wenu; nanyi mtachukua mali za Wamisri.”+

  • Kutoka 12:35, 36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Waisraeli walifanya kama Musa alivyokuwa amewaambia, wakawaomba Wamisri vito vya fedha na vya dhahabu na pia mavazi.+ 36 Yehova akawafanya Waisraeli wapate kibali machoni pa Wamisri, hivi kwamba wakawapa walichoomba, nao wakachukua mali za Wamisri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki