Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 15:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Lakini mimi nitalihukumu taifa watakalolitumikia,+ na baada ya hapo watatoka huko na mali nyingi.+

  • Kutoka 3:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Nami nitawafanya watu hawa wapate kibali machoni pa Wamisri, nanyi mtakapoondoka, hamtaondoka kamwe mikono mitupu.+

  • Kutoka 11:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Sasa waambie watu kwamba wanaume wote na wanawake wote wanapaswa kuwaomba majirani wao vito vya fedha na dhahabu.”+

  • Zaburi 105:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Aliwatoa nje watu wake wakiwa na fedha na dhahabu;+

      Na hakuna yeyote katika makabila yake aliyejikwaa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki