Zaburi 105:9-11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Agano alilofanya na Abrahamu,+Na kiapo alichomwapia Isaka,+10 Alichotoa kama amri kwa YakoboNa kama agano la kudumu kwa Israeli,11 Akisema, “Nitakupa nchi ya Kanaani+Kuwa urithi wako uliogawiwa.”+
9 Agano alilofanya na Abrahamu,+Na kiapo alichomwapia Isaka,+10 Alichotoa kama amri kwa YakoboNa kama agano la kudumu kwa Israeli,11 Akisema, “Nitakupa nchi ya Kanaani+Kuwa urithi wako uliogawiwa.”+