Mwanzo 25:5, 6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Baadaye Abrahamu alimpa Isaka+ kila kitu alichokuwa nacho, 6 lakini Abrahamu akawapa zawadi wana wa masuria wake. Alipokuwa bado hai, akawaagiza waende upande wa mashariki, mbali na Isaka mwanawe,+ katika nchi ya Mashariki.
5 Baadaye Abrahamu alimpa Isaka+ kila kitu alichokuwa nacho, 6 lakini Abrahamu akawapa zawadi wana wa masuria wake. Alipokuwa bado hai, akawaagiza waende upande wa mashariki, mbali na Isaka mwanawe,+ katika nchi ya Mashariki.