Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 35:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Hatimaye Yakobo akafika mahali ambapo Isaka baba yake alikuwa kule Mamre,+ Kiriath-arba, yaani, Hebroni, ambako Abrahamu na pia Isaka waliishi wakiwa wageni.+

  • Hesabu 13:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Walipopanda na kuingia Negebu, walifika Hebroni,+ ambako Ahimani, Sheshai, na Talmai,+ wazao wa Anaki+ waliishi. Sasa, Jiji la Hebroni lilijengwa miaka saba kabla ya jiji la Soani lililoko Misri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki