Waamuzi 1:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi watu wa kabila la Yuda wakawashambulia Wakanaani waliokaa Hebroni (zamani Hebroni liliitwa Kiriath-arba), nao wakamuua Sheshai, Ahimani, na Talmai.+
10 Basi watu wa kabila la Yuda wakawashambulia Wakanaani waliokaa Hebroni (zamani Hebroni liliitwa Kiriath-arba), nao wakamuua Sheshai, Ahimani, na Talmai.+