Mwanzo 17:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Lakini kuhusu Ishmaeli, nimesikia ombi lako. Tazama! Nitambariki, nami nitamfanya awe na wazao wengi, nao wataongezeka na kuwa wengi, wengi sana. Atazaa wakuu 12, nami nitamfanya awe taifa kubwa.+
20 Lakini kuhusu Ishmaeli, nimesikia ombi lako. Tazama! Nitambariki, nami nitamfanya awe na wazao wengi, nao wataongezeka na kuwa wengi, wengi sana. Atazaa wakuu 12, nami nitamfanya awe taifa kubwa.+