Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 17:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Ndipo Mungu akasema: “Mke wako Sara hakika atakuzalia mwana, nawe unapaswa kumpa jina Isaka.*+ Nami nitaimarisha agano langu pamoja naye liwe agano la milele kwa uzao wake* baada yake.+

  • Zaburi 105:9-11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Agano alilofanya na Abrahamu,+

      Na kiapo alichomwapia Isaka,+

      10 Alichotoa kama amri kwa Yakobo

      Na kama agano la kudumu kwa Israeli,

      11 Akisema, “Nitakupa nchi ya Kanaani+

      Kuwa urithi wako uliogawiwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki