Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 32:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Nami nimepata ng’ombe dume, punda, kondoo, na watumishi wa kiume na wa kike,+ nami ninakutumia ujumbe huu bwana wangu, ili nipate kibali machoni pako.”’”

  • Mwanzo 36:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kisha Esau akawachukua wake zake, wanawe, mabinti zake, na watu wote wa nyumba yake, mifugo yake na wanyama wake wote, na mali yote aliyokusanya+ katika nchi ya Kanaani, akahamia nchi nyingine, umbali fulani kutoka kwa Yakobo ndugu yake.+ 7 Alihama kwa sababu mali zao zilikuwa nyingi sana wasiweze kuishi pamoja, na nchi walimoishi* haingewatosha kwa sababu walikuwa na mifugo mingi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki