25 Asubuhi Yakobo akagundua kwamba alipewa Lea! Kwa hiyo akamuuliza Labani: “Ni jambo gani hili ulilonitendea? Je, sikukutumikia ili nimpate Raheli? Kwa nini umenitendea hila?”+
39 Sijawahi kukuletea mnyama yeyote aliyeraruliwa na mnyama wa mwituni.+ Mimi mwenyewe nililipia hasara hiyo. Ulidai malipo kutoka kwangu kwa ajili ya mnyama yeyote aliyeibiwa mchana au usiku.