Mwanzo 29:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Basi kufika asubuhi akakuta kumbe ni Lea! Kwa hiyo akamwambia Labani: “Ni nini hili umenitendea? Je, sikukutumikia kwa ajili ya Raheli? Basi kwa nini umenifanyia ujanja?”+
25 Basi kufika asubuhi akakuta kumbe ni Lea! Kwa hiyo akamwambia Labani: “Ni nini hili umenitendea? Je, sikukutumikia kwa ajili ya Raheli? Basi kwa nini umenifanyia ujanja?”+