Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 28:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Yakobo akaondoka Beer-sheba na kuendelea na safari kuelekea Harani.+

  • Mwanzo 30:43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Kwa hiyo Yakobo akatajirika sana, akawa na makundi makubwa ya wanyama na watumishi wa kiume na wa kike na ngamia na punda.+

  • Mwanzo 32:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ndipo Yakobo akaogopa sana na kushikwa na wasiwasi.+ Basi akawagawa katika kambi mbili watu aliokuwa nao, na pia ng’ombe, ngamia, na mifugo mingine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki