Kumbukumbu la Torati 2:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Awali, Wahori+ waliishi Seiri, lakini wazao wa Esau walimiliki nchi yao, wakawaangamiza na kukaa humo badala yao,+ kama Waisraeli watakavyofanya katika nchi ambayo ni miliki yao, ambayo kwa hakika Yehova atawapa.)
12 Awali, Wahori+ waliishi Seiri, lakini wazao wa Esau walimiliki nchi yao, wakawaangamiza na kukaa humo badala yao,+ kama Waisraeli watakavyofanya katika nchi ambayo ni miliki yao, ambayo kwa hakika Yehova atawapa.)