12 Awali, Wahori+ waliishi Seiri, lakini wazao wa Esau walimiliki nchi yao, wakawaangamiza na kukaa humo badala yao,+ kama Waisraeli watakavyofanya katika nchi ambayo ni miliki yao, ambayo kwa hakika Yehova atawapa.)
22 Hivyo ndivyo alivyofanya kwa ajili ya wazao wa Esau, ambao sasa wanakaa Seiri,+ alipowaangamiza Wahori+ kutoka mbele yao, ili wamiliki nchi yao na kukaa humo badala yao mpaka leo.