Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 38:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kwa hiyo, akamkaribia kando ya barabara na kumwambia: “Niruhusu tafadhali nilale nawe,” kwa maana hakujua kwamba alikuwa binti mkwe wake.+ Hata hivyo, Tamari akamuuliza: “Utanipa nini ili ulale nami?”

  • Mwanzo 38:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Yuda akamuuliza: “Ungependa nikupe nini kama rehani?” akasema: “Pete yako ya muhuri+ na kamba yako na fimbo uliyoshika mkononi.” Basi akampa vitu hivyo na kulala naye, Tamari akapata mimba.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki