Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 26:7-11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “Pia utatengeneza vitambaa vya manyoya ya mbuzi+ vya kufunika hema hilo. Utatengeneza vitambaa 11 vya hema.+ 8 Kila kitambaa kitakuwa na urefu wa mikono 30 na upana wa mikono 4. Vitambaa vyote 11 vitakuwa na ukubwa uleule. 9 Utaunganisha vitambaa vitano pamoja na vitambaa sita pamoja, na kitambaa cha sita utakikunja upande wa mbele wa hema. 10 Kisha utatengeneza vitanzi 50 kwenye upindo wa kitambaa cha kwanza, kwenye kipande cha mwisho kabisa, na vitanzi 50 kwenye upindo wa kitambaa cha pili, mahali vitakapounganishwa. 11 Nawe utatengeneza vibanio 50 vya shaba na kuvitia kwenye vitanzi na kuunganisha vitambaa hivyo pamoja, ili hema liwe na kitambaa kimoja kizima.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki