Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 25:17-20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “Utatengeneza kifuniko cha dhahabu safi chenye urefu wa mikono miwili na nusu na upana wa mkono mmoja na nusu.+ 18 Nawe utatengeneza makerubi wawili wa dhahabu; utawatengeneza kwa nyundo kwenye miisho miwili ya kifuniko hicho.+ 19 Tengeneza kerubi mmoja kwenye mwisho mmoja na kerubi mwingine kwenye mwisho wa pili wa kifuniko. 20 Makerubi hao watakuwa wamenyoosha mabawa yao mawili kuelekea juu, na hivyo kukifunika kifuniko hicho kwa mabawa yao,+ nao wataelekeana. Nyuso za makerubi hao zitatazama kifuniko.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki